SHERIA 10 za KANYE WEST kwa Mkewe KIM KADARSHIAN

SHERIA 10 za KANYE WEST kwa Mkewe KIM KADARSHIAN

Ndoa na familia hakika ni muunganiko uliozungukwa na mambo mengi ambayo huzifanya kuwa imara na kudumu kwa muda mrefu endapo kila mmoja akajua kile ambacho mwenzake anatamani kufanyiwa.

Mwanamziki Kanye West na Mkewe Kim Kadarshaian wamekuwa kwenye ndoa kwa muda sasa, Ndoa ambayo kwa hakika inawavutia mastaa wengi, siri ya kudumu kwa ndoa hiyo huenda ni sheria walizowekeana.

Leo tumezinasa siri hizo na kupitia Global TV Online ni jukumu letu kukujuza wewe mtazamaji wetu ili zikupe changamoto katika maisha ya ndoa au mahusiano.

Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter:

www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho USIKUBALI KUPITWA NA HII, BONYEZA LINK https://www.youtube.com/watch?v=L4UGw…

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *